Kutangaza Neno la Mungu Ulimwenguni na kuwafariji watu wa Mungu

 


 

Kuwakaribisha kwa Family Radio!

 

Tunafurahi sana umekuja Family Radio! Kila kitu unachokiona, unachokisoma au kukisikia katika Tovuti hii kimekusudia kukufundisha na kukufariji. Iwe unataka kusoma machapisho yetu au kusikiliza nyaraka zilizorekodiwa, kila tunachokiweka katika mtandao huu kinapatikana bure bila malipo.

 

Tunafurahia zawadi ya Wokovu wa Mungu, ambao umetolewa bure kwa watu Wake. Katika [Family Radio] kila tunachokitoa, tunakitoa tukizingatia kanuni hii:…mmepata bure, toeni bure. Mathayo 10:8. Kwa hiyo, karibu. Jisikie huru kutumia vyanzo vyetu vyote na Mungu akubariki unaposoma au unaposikia Neno Lake.

 

Tunaomba kwamba Mungu Atalitumia Neno Lake kufungua macho yako katika Ukweli. [Family Radio] iwe faraja na msaada kwako unapotembea na kumtumikia Mungu katika ulimwengu huu.

Asante!

 

 

 

Family Stations,Inc – shirika la huduma lisilotengeneza faida 501(c)3 – ©  2014 Haki Zote Zimehifadhiwa